Home
-
RealBizMdau Wako wa Kuaminika katika Umiliki Nafuu wa Ardhi na Nyumba
-
Miradi YetuPeruzi miradi yetu iliyopo Morogoro, Dar es salaam na Tanga
RealBiz - Mdau Wako wa Kuaminika katika Umiliki Nafuu wa Ardhi na Nyumba.
Tujenge Kesho Yako, Pamoja.
RealBiz Tanzania, ni kampuni iliyosajiliwa na mamlaka za Ardhi na maendeleo ya Makazi katika kudumisha na kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na mamlaka, kampuni yenye makao yake makuu Jiji la Tanga, na ofisi ndogo katika miji ya Dar es salaam na Morogoro.
RealBiz ni kampuni mahiri ya uuzaji Ardhi, upangaji na uendelezaji wa makazi yenye lengo la kuhakikisha kila mtu anaweza kumiliki ardhi kwa bei nafuu na kwa masharti rafiki ya malipo. Hatuishii tuu kwenye uuzaji wa viwanja bali tunatembea pamoja nawe kila hatua hadi ndoto yako ya kumiliki kiwanja na nyumba itimie.
Huduma Zetu
Kwa Nini Uchague RealBiz?

✅ Bei nafuu za kumiliki Ardhi
✅ Mpango rafiki wa Malipo
✅ Ushauri wa bure kwenye hatua za Upangaji na umiliki Ardhi na Ujenzi
✅ Punguzo la 50% la ramani Nyumba yako
✅ Vifaa vya Ujenzi kwa Bei ya Punguzo.
✅ Usimamizi wa Ujenzi na ushauri kwa Gharama Nafuu
Kutafuta Kiwanja Sasa
Au
Wasiliana na mtoa huduma wetu kwa maelezo zaidi

Defined By Service and Expertise
RealBiz ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa viwanja. RealBiz ilianzishwa mwaka 2022, kwa lengo la kuwasaidia watanzania wenye kipato cha chini kuweza kumiliki kiwanja. Malipo yake yanafanyika kidogo kidogo,mteja anaweza kulipia mpaka kwa miaka miwili. Kumiliki ardhi yako ni maendeleo yako ya kesho. Ardhi ni aseti isiyokufa wala kuharibika,itakusaidia katika Nyanja tofauti za maendeleo.
Miradi Yetu
Baadhi ya miradi yetu

KAKINDU PROJECT BLOCK A
PONGWE KUSINI STREET, PONGWE WARD TANGA CITY 3 km Tanga Segera Main Road Tanga Cbd, Tanga
From 2,254,959 to 5,226,000 TZS

KAKINDU PROJECT BLOCK B
PONGWE KUSINI STREET, PONGWE WARD TANGA CITY 3 km Tanga Segera Man Road Tanga Cbd, Tanga
From 1,593,000 to 21,096,000 TZS

KINANGO RESIDENCE
KINANGO AREA, MARANZARA STREET, PONGWE WARD TANGA CITY 4 km from Tanga Segera Main Road Tanga Cbd, Tanga
From 774,000 to 3,402,000 TZS

PONGWE MARANZARA RESIDENCE BLOCK C
Tanga Cbd, Tanga, Tanzania Tanga Cbd, Tanga
From 2,470,000 to 28,710,000 TZS

PONGWE MARANZARA RESIDENCE BLOCK K
MARANZARA STREET, PONGWE WARD TANGA CITY. 1.3 km from Tanga Segera Main Road Tanga Cbd, Tanga
From 2,375,000 to 20,916,000 TZS

PONGWE MIJOHORONI-MIZANI PROJECT BLOCK E
PONGWE KATI AND PONGWE KUSINI STREETS, PONGWE WARD TANGA CITY. Along Tanga Segera Main Road Tanga Cbd, Tanga
From 2,430,000 to 13,233,000 TZS

PONGWE MIJOHORONI-MIZANI PROJECT BLOCK M
PONGWE KATI AND PONGWE KUSINI STREETS, PONGWE WARD TANGA CITY. Along Tanga Segera Main Road Tanga Cbd, Tanga
From 1,966,500 to 7,280,000 TZS

MUHEMBO ONE & TWO
MUHEMBO AREA, MARANZARA STREET, PONGWE WARD TANGA CITY 3 km from Tanga Segera Main Road Tanga Cbd, Tanga
From 5,500 to 6,156,000 TZS